Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa wanakanyagana huko kutoa namba na kuomba kwenda PM. Ila wengi wamekuwa waungwana na wanatoa ushauri wa kistaarabu. Ila jamaa amejieleza vizuri sana mpaka anatia huruma yaani. Yawezekana kweli kuna watu wanazaliwa hivyo. Mungu Atamsaidia kama kweli ana nia ya kuachana na hiyo hali..
Daaa, asee nilikua sijaona huo Uzi.
Jamaa ktililika mpaka unamuhurumia. Nadhani tuache kashfa kwa gays wakati bado tuna vijana tunalea.
Maana hatujui yajayo mbele yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi wenye ndoa tunapata tabu kweli kweli, yaani mama chichi akijipindua tu yaani tunavyo jivua kwenye shuka utadhani nimepakatia mayai 100 bila trei... Yaani ninanyata hadi dhambi... Kisa tu likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
Umeona eh! That’s the Beauty of JamiiForums. Zege halilali Mkuu hali kadhalika JF hailali.
 
Nami niulize. Nachezea iginoa listi yako ama? Likes zako tangu juzi ni za shida kweli. Nijulishe kama umenitupiako nianze jitihada za kujitoa. I talk too much...sema tu kama anavyosemaga jirani kila mtu ana umuhimu wake na kila mtu ni unique in his own way. Kamwe hatutaweza kufanana hata tujaribu namna gani [emoji16][emoji16][emoji16]
Ignoa list yangu ipo empty, likes natoa ninavyopewa kwa msema wa jirani toa upewe,toa kama unavyopewa.
 
Itakuwa ni kwenye siasa labda. Nahisi ni ile ishu ya zamani wakati ule. Hata mimi bado nipo kwenye iginoa listi ya BAK tangu wakati uleee. Halafu mimi sijui nina bahati gani. Ni vigumu sana kumaliza mwezi bila kuchezea iginoa listi ya mtu humu. Sijui huwa nakosea wapi. Kwa malkia huwa nawekwa natolewa narudishwa tena halafu natolewa ali mradi shida tupu indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki izi mai home japo sasa nimehamia Dubai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa sisi wenye ndoa tunapata tabu kweli kweli, yaani mama chichi akijipindua tu yaani tunavyo jivua kwenye shuka utadhani nimepakatia mayai 100 bila trei... Yaani ninanyata hadi dhambi... Kisa tu likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko bana
 
Hahahahahaha lol! Kama nakuona vile ukiwa kwenye minyato yako usimstue shem.

Kwa sisi wenye ndoa tunapata tabu kweli kweli, yaani mama chichi akijipindua tu yaani tunavyo jivua kwenye shuka utadhani nimepakatia mayai 100 bila trei... Yaani ninanyata hadi dhambi... Kisa tu likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
 
Poti anamwaga mauzoefu na maexipirience yake hapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ukikumbana nayo hii ya bandia utajua tu poti. Akiinama tu utaona mapolygon ya ajabu ajabu mpaka utadata...Halafu ukilishika utakuta gumuu utafikiri ugali wa Kisukuma. Hapo jua kuwa wajanja wameshindilia nyama hapo. Na siku hizi nasikia wanatumia nyama ya nguruwe...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakunyoshe tu shuwaini zakoo

Back
Top Bottom