Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nguruwe wako compatible sana na binadamu. Hata majaribio ya kukuza nguruwe kwa lengo la kuvuna viungo vyao baadaye na kuvipandikiza kwa binadamu yanaendelea vyema. Majaribio ni mazuri zaidi upande wa moyo na wanasema within 5 years ukihitaji moyo mpya si ajabu utawekewa wa nguruwe...Astaghafurai! [emoji1][emoji1][emoji1]