Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nakazia [emoji818][emoji818][emoji818]Liverpool kesho apigwe tu!
Nakazia [emoji818][emoji818][emoji818]Liverpool kesho apigwe tu!
Mingine ni mitego ohoooo [emoji16][emoji16][emoji16]Si umesema mwenyew?
Siasa
Sawa kamanda, ila wawe wanachinja angalau mara 1 kwa mwaka.Ng'ombe anauzwa sh ngapi? Na hata ukimchinja hutamla peke yako. Ni laziwa uwapatie pia majirani na ndugu wa karibu. Wengi huwa wanaona afadhali tu kununua nyama au kuwinda kama wanahitaji nyama kuliko kuchinja dume la ng'ombe ambalo unaweza kuliuza ukapata hata laki 4 ukatatua shida kibao.
Naamini hata wao wanapenda sana kula nyama. Lazima kuna sababu. Safari nyingine ukiwa huko jaribu kuwauliza ila kwa Wasukuma sababu ni kama hizo juu. Na hapo bado kuna presha ya vijana wa kiume kuoa. Ng'ombe atachinjwa saa ngapi wakati anapigiwa mahesabu ya mahari?
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anajiamini sana bravo CAGDuh! Kapiga mule mule bila kukwepesha! Kuna mtu atafura karibu ya kupasuka.
Hahahaha poti potiPoti hili tangazo inabidi ulilipie! [emoji1][emoji1]
Mnyaki huyo. Mzee wa maparachichi! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Na kesho full mzukaSana tu na uwepo wako basi burudani tosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hatari sanaUmemshtukia ee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo ubahiri. Ng'ombe ndiyo kipimo cha utajiri wao. Ni sawa na kumwambia mtu mwenye mabasi 50 eti awe anagawa basi moja kila mwaka. Haiwezekani aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Sawa kamanda, ila wawe wanachinja angalau mara 1 kwa mwaka.
Mwaka jana Mkoani Morogoro wafugaji wengi walipoteza mifugo yao kwa ukame, wangechinja au kupunguza mifugo yao kwa kuwauza nadhani wangepunguza hasara waliyopata. Ni vile wanapenda kuwalimbikiza wanyama kwa ubahiri[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
MwozoyePoti analeta ujanja wa Nansio hapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Mingine ni mitego ohoooo [emoji16][emoji16][emoji16]