Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daaa, asee nilikua sijaona huo Uzi.
Jamaa ktililika mpaka unamuhurumia. Nadhani tuache kashfa kwa gays wakati bado tuna vijana tunalea.
Maana hatujui yajayo mbele yetu


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali ya sasa ni mtihani kwa kweli. Mpaka amenifanya niamini kuwa pengine kuna watu wanazaliwa na hiyo hali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakunyoshe tu shuwaini zakoo

Huyu mlugaluga bana! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inashangaza Mkuu. Kama alivyojisema Jenerali Ulimwengu awamu hii tumerudi nyuma miaka 50. Mie nadhani tumerudi nyuma miaka 70 pamoja na kuwa sikuwepo nyakati hizo lakini kwa kusoma historia naona kulikuwa na ahueni kubwa sana miaka 50 nyuma ukilinganisha na sasa.
Kweli mkuu kwenye demokrasia tumerudi nyuma sana
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama na wewe umekimbia basi tena. Raha sana uzi huu wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Siku ukikumbana nayo hii ya bandia utajua tu poti. Akiinama tu utaona mapolygon ya ajabu ajabu mpaka utadata...Halafu ukilishika utakuta gumuu utafikiri ugali wa Kisukuma. Hapo jua kuwa wajanja wameshindilia nyama hapo. Na siku hizi nasikia wanatumia nyama ya nguruwe...

Astaghafurai! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Unayechat nae kaniweka ignoa list kuna joto humu uwiii hadi picha za kwenye noti zimevua shati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli ankoo?!!
Namjua BAK ni mwaka wa nne sasa, sio wa kukaa na mambo kifuani, sijui mlipishana wapi?! Nakumbuka mlikutana KT na mliyamaliza kabisa, nini mbaya tena...
Kweliii,sijui nimeharibu wapi aah tatizo nna ligi nyingi mno
Nahisi kuna mfitin ndani ya huu uzi si mchezo shuaini zake anayeona numby anafaidi sana kukaa ndani ya uzi pendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ni kwenye siasa labda. Nahisi ni ile ishu ya zamani wakati ule. Hata mimi bado nipo kwenye iginoa listi ya BAK tangu wakati uleee. Halafu mimi sijui nina bahati gani. Ni vigumu sana kumaliza mwezi bila kuchezea iginoa listi ya mtu humu. Sijui huwa nakosea wapi. Kwa malkia huwa nawekwa natolewa narudishwa tena halafu natolewa ali mradi shida tupu indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki izi mai home japo sasa nimehamia Dubai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
BAK usitese watu hivyo.. watoe kwenye ignoa listi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakunyoshe tu shuwaini zakoo

Wakininyosha nami nawanyosha. Ngoma droo ati! Shwaiiiniii kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa sisi wenye ndoa tunapata tabu kweli kweli, yaani mama chichi akijipindua tu yaani tunavyo jivua kwenye shuka utadhani nimepakatia mayai 100 bila trei... Yaani ninanyata hadi dhambi... Kisa tu likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
🤣🤣🤣🤣 Tulike tunapendwa
 
Back
Top Bottom