Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Rudi hapa tuendelee kuburudika...[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Du hii kali
Mkuu nimecheka hatariWatu wana maneno aisee [emoji23][emoji23]
Anajiamini sana bravo CAG
UmejuajePoti wako ana mbwembwe sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee jamaa una dhambi sana,hivi unamkumbuka vizuri yule askari ? Hauna mwingine wa kunifananishia nipate ahueni?
Mkuu nimecheka hatari
Aisee utaniharibia mambo naomba utulie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ISIS [emoji125][emoji125]
Duuu, uko vizuri[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Ya zari yapo vizuri kila weekend anayaanika ndani ya bikini
Super sonic speedKabisa Mkuu na sioni speed ya uzi huu kupungua anytime soon.