Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don’t wait for good things to happen to you. If you go out and make some good
things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope.
 
Soma hii itakusaidia

Sio ajabu kuwa siku hizi watu wengi wanakufa kwa cancer tofauti na zamani
Tunashangaa jambo hili linatokea wapi

Huu ni mfano unaoelezea sababu nyingi zinazosababisha cancer. Watu wengi kitu cha mwanzo na cha mwisho ni gari, siku 7 kwa wiki... nikiisoma hii inanifanya niwe na msongo wa mawazo na maradhi.. .tafadhali isambaze kwa watu kwasababu hatukuchelewa kuleta mabadiliko

[emoji673] Tafadhali usiwashe AC unapoingia tu kwenye ya gari, fungua vioo ukiingia na washa AC baada ya dakika kadhaa... hii ni kwasababu kwa mujibu wa tafiti dashboard la gari, viti, na air freshner vinatoa BENZENE (sumu inatosababisha cancer)

Chukua muda kidogo kunusa harufu ya kuungua kwa plastic kwenye gari yako

[emoji673]Pamoja na kusababisha cancer, Benzene inatia sumu mifupa yako na kusababisha upungufu wa damu...na pia inaweza kusababisha cancer ya damu (leukemia)

[emoji673] Pia inaweza kusababisha miscarriage (kuharibu ujauzito).
Kima kinachokubalika cha benzene ni 50mg/sq lkn gari iliyopakiwa juani hali ya kuwa vioo vimefungwa ina 400mg 500mg za Benzene.
Ikiwa imepakiwa chini ya jua lenye 60°F (15.5°C) kiwango cha benzene kinapanda kutoka 2000mg - 4000 mg (mara 40 ya kiwango kinachokubalika)

[emoji673]Watu wanaoingia kwenye gari na kuwacha vioo vimefungwa bila ya shaka watavuta hewa yenye kiwamgo kikubwa cha sumu kwa haraka sana

[emoji673]Benzene ni sumu inayoathiri figo na maini. Kibaya zaidi ni kuwa ni vigumu sana kuitoa sumu hii

[emoji673]Kwa hiyo, tafadhalini fungueni vioo na milango ya gari zenu na ziacheni kdg ili hewa ndani yenye sumu za kuuwa itoke kabla hujaingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…