Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezaji wa safu ya nyuma kulia wa Paris St-Germian Dani Alves, mwenye umri wa miaka 35,amewakosoa wazi wachezaji wenzake katika timu hiyo katika mahojiano na redio ya Ufaransa. Mbrazil huyo alidai klabu hiyo ingepaswa kuwa imezingati ushauri wake kwasababu ya uzoefu wake katika viwango vya juu vya soka (RMC radio, via AS)
 
54264615_406469829901682_8403208193757823368_n.jpg
Madem kama haya naweza kuyapata maeneo gani hapa bongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajisikiaje? Nothing. Ni haki yako kuweka picha hiyo unless kama inavunja sheria.

I don't take anything personal hasa humu mitandaoni. Na mshipa si ni ugonjwa ama? Ni nani atafurahia ugonjwa wa mwenzake?

Hawa maslei kwini wenye mimba picha wanaweka wenyewe; na wengine ni models kama huyo niliyemuweka. Sioni tatizo ni nini kwa kweli...
[emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vumilia tu Hawachi. Ndo ishu za mitandaoni humu. Kila mmoja akitaka ambacho hakipendi kisiwekwe basi hakuna kitakachowekwa. Mwingine ataweka picha za nyoka huyu atalalamika. Mwingine ataweka picha za Lucifer huyu atalalamika. Hata picha za mabondia wakipigana lazima kuna mtu atalalamika. Hata watoto eti wanakuwa exploited. Tuvumiliane tu kwa sababu hakuna namna
Aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami niulize. Nachezea iginoa listi yako ama? Likes zako tangu juzi ni za shida kweli. Nijulishe kama umenitupiako nianze jitihada za kujitoa. I talk too much...sema tu kama anavyosemaga jirani kila mtu ana umuhimu wake na kila mtu ni unique in his own way. Kamwe hatutaweza kufanana hata tujaribu namna gani [emoji16][emoji16][emoji16]
Dooh kama na Mimi nimo mnijulishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom