Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
🤣🤣🤣 Yaani quality ya hiyo picha sio kabisa
Ataitoa wapi hiyo elfu 10
Unataka kusemaje hapo?Ataitoa wapi hiyo elfu 10
I am thinking.. I got some ideas...
Speak out ..I am thinking.. I got some ideas...
Swali fikirishiBado Najiuliza, Watu Waliozoea Kutuita Sisi Wananchi Ni Wanyonye Inakuaje Wanachukia Kuitwa Dhaifu? Mbona Sisi Wananchi Hatuchukii?
Si ni malofa 😔 in Naniliuz voice..Bado Najiuliza, Watu Waliozoea Kutuita Sisi Wananchi Ni Wanyonye Inakuaje Wanachukia Kuitwa Dhaifu? Mbona Sisi Wananchi Hatuchukii?