Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Poaz..Mamboz
Poaz..Mamboz
Green jacket for fifth timesGo Tiger!
Nko poa sana Mzee wa Liver, weekend ndo inaisha hivii.Mkuu niaje
Rashford mhhhBarca imeona sio shida kuanza kusumbuana na Real Madrid na Bayern Munich kwenye usajili wa Jovic, hivyo wameamua kuhamisho nguvu huko Man United kunasa saini ya Rashford huku wakimtaka pia staa wa Atletico Madrid, Griezmann.
MkuuYegomasika
Anasemaje mkuu tupia ubuyu kidogoNmeona post ya mange kuhusu jamaa, nimecheka saana.
Half cast ulisemaPoaz..
Safi tunamshukuru Mungu weekend imeishia salamaNko poa sana Mzee wa Liver, weekend ndo inaisha hivii.
Vipi kwako?
Mkuu
Green jacket for fifth times
Tunashukuru Mwenye Enzi Mkuu Mungu kwa yoteHabari za uzima Mkuu