Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Arsenal walikumbwa na pigo kwenye mchakamchaka wao wa Top Four baada ya kuchapwa na Everton 1-0 siku chache baada ya straika wao Pierre-Emerick Aubameyang kupiga picha akionekana na Drake.
 
Man City wao walichapwa 1-0 na Tottenham kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya huku wakikosa penalti baada ya staa wao Sergio Aguero akiwa ameposti selfie aliyopiga na rapa huyo.
 
D4SLwv_WAAImxU0.jpg
 
kabla ya kusawazisha kupitia kwa Juan Bernat dakika nne baadaye kabla ya kucheza pungufu mchezaji wao mmoja akionyeshwa kadi nyekundu na kilichofuatia baada ya hapo ni mvua ya mabao,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro kaiona hii
Nimeiona. Sema tu leo sitaki shari kabisa ndo maana niko kimya. Hata TRM mfanye nini leo sitatia neno. Sana sana nitarudi baadaye kuwapa likes tu kama nitapata muda. Nina lisafari lirefu hapa balaa halafu nadhani kuna hatari ya kukaa ndani ya maji hata kwa wiki nzima. Kuzaliwa mwanaume yaani shida tupu dadeki. Yote kwa yote tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom