Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1555065645381.jpeg
 
Wababe hao wa Ureno wamebeba ubingwa huo wa Ulaya mwaka 1987 na 2004 walipokuwa chini ya makocha Artur Jorge na Jose Mourinho mtawalia. Msimu huu bado wapo kwenye michuano hiyo licha ya kwamba kwa sasa wanakabiliwa na mtihani mzito wa kuyageuza matokeo ya 2-0 waliyofungwa na Liverpool katika mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali huko Anfield.
 
Kuhusu michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Dortmund waliwahi kubeba ubingwa huo, msimu wa 1996/97 walipokuwa chini ya kocha Ottmar Hitzfeld, ambapo waliipiga Juventus iliyokuwa ya mastaa watupu katika mchezo wa fainali. Msimu huu wameanza kwa kasi sana, lakini walikwenda kutupwa nje na Tottenham kwenye raundi ya 16 bora.
 
Msimu huu wametinga robo fainali na mechi ya kwanza wameshinda kwa mabao 2-0 dhidi ya FC Porto ambao watarudiana nao kesho Jumatano huko Ureno. Lakini, ubabe wao wote Liverpool kwenye mechi za mtoano wameshinda mabao 49 tu, wakifunikwa na staa Juventus, Ronaldo peke yake kwa mabao aliyofunga katika hatua hiyo ya mtoano katika mikikimikiki hiyo ya Ulaya.
 
Back
Top Bottom