Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Timu nilizonazo(man u,madrid,yanga)zimetosha mweee hapa nilipo fulati screen nikiongeza timu si tundimu tutaisha kabisa.Stress za mpira sio kabisa.Wafatilie Ajax wapo vizuri sana zaidi ya Juventus
Nipo nasubiria kwa hamu siku CR7 atakapostaafu kwa furaha nipunguze ka puresha