Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

D4QgWWBWkAA9wB_.jpg
 
Nataman na leo wakagonge kwa bombadia[emoji23][emoji23]

Asiione cole hii[emoji125][emoji125]
Hahaha kuna El Classico moja hv,,nafikili ilikuwa ya 2017..Barcelona alishinda 3-2..Messi akifunga goli dakika za majeruhi,,Messi alitoka uwanjan utadhan alikuwa vitani na mnyama mkali,,pua lote linavuja damu,,aisee

Hawa kina Smalling leo sijui tu,ngoja tuone
 
Back
Top Bottom