Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha kuna El Classico moja hv,,nafikili ilikuwa ya 2017..Barcelona alishinda 3-2..Messi akifunga goli dakika za majeruhi,,Messi alitoka uwanjan utadhan alikuwa vitani na mnyama mkali,,pua lote linavuja damu,,aisee

Hawa kina Smalling leo sijui tu,ngoja tuone
Jaman kajamaa kabishi hako,wanakadunda ila kapo tu.

Tatizo la man u kwa sasa ni kocha kawa mshkaji wao wasana kiasi wachezaji wanawaza maslah makubwa kuliko kuipigania timu. Nusu ya wachezaji hapo wana madai ya kuongezewa mishahara,robo kocha anaropoka hawataki msimu ujao lazima wavurugike akili. Kocha mkali kama babu fergie anaweza idhibiti man u ikakaa sawa
 
Kwema kabisa ninge, tatizo ni Manu yuu tu...
Ankoooo
57652844_2234843199913589_3533809421144317728_n.jpg
 
Jaman kajamaa kabishi hako,wanakadunda ila kapo tu.

Tatizo la man u kwa sasa ni kocha kawa mshkaji wao wasana kiasi wachezaji wanawaza maslah makubwa kuliko kuipigania timu. Nusu ya wachezaji hapo wana madai ya kuongezewa mishahara,robo kocha anaropoka hawataki msimu ujao lazima wavurugike akili. Kocha mkali kama babu fergie anaweza idhibiti man u ikakaa sawa
Aisee,ngoja tuone leo,,kwenye game chochote kinaweza kutokea na kuishangaza dunia,,naamini hivyo!!
 
Back
Top Bottom