myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kazi ipo hapoPambano jingine la robo fainali leo ni kati ya Juventus na Ajax Amsterdam baada ya pambano la kwanza baina ya timu hizo mbili kumalizika kwa sare ya 1-1 nyumbani kwa Ajax.
Kazi ipo hapoPambano jingine la robo fainali leo ni kati ya Juventus na Ajax Amsterdam baada ya pambano la kwanza baina ya timu hizo mbili kumalizika kwa sare ya 1-1 nyumbani kwa Ajax.
Niliongea naye na yuko poa, lakini aligongwa kwa nguvu sana. hakujisikia vizuri wakati mechi ikiendelea na siku moja baada ya mechi. Ilikuwa kama vile amegongwa na treni.” Alisema kocha huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh
[emoji23][emoji23][emoji23]
Shuaini zake kocha hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh
Hahaha kocha karudia rudia hilo neno duhShuaini zake kocha hahahah
Kama mimi [emoji41][emoji41]Naupenda huu wimbo jamani na video yake
[emoji1419][emoji1419][emoji1419][emoji1419][emoji1419][emoji1419]