Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bosi huyo wa Los Blancos anatazamiwa kuwa na zaidi ya Pauni 400 milioni za kutumia kwenye usajili katika dirisha lijalo huku mastaa kibao waliopo kwa sasa kwenye kikosi hicho wakitarajiwa kufunguliwa mlango wa kutokea
 
Na ujio wa Zidane kwenye kikosi hicho umekuwa ukihusishwa na mipango ya kunaswa mastaa wengi wenye majina makubwa wakiwamo Wafaransa wawili, Paul Pogba na Kylian Mbappe wanaotamba kwenye vikosi vya Manchester United na Paris Saint-Germain.
 
Wakati kikosi chake kikijiandaa na mechi dhidi ya Leganes jana Jumatatu, Zidane alisema: “Wachezaji watu wote ni muhimu na wazuri, lakini tutakwenda kufanya mabadiliko
 
Mastaa kama Gareth Bale, Marco Asensio na Toni Kroos wametajwa ni majina machache yatakayofunguliwa mlango wa kutoka huku Los Blancos wenyewe wakiwa na dhamira ya kuwanasa Hazard na Rice kwanza baada ya kumnasa Eder Militao kutoka Porto.
 
Ripoti zimekuwa zikifichua kwamba supastaa huyo wa kimataifa wa Uswisi, aliyejiunga na Arsenal akitokea Borussia Monchengladbach miaka mitatu iliyopita na kucheza mechi zaidi ya 125 huko Emirates amekuwa kwenye rada za wababe hao wa Serie A wakihitaji kumwongeza kwenye mipango yao ya msimu ujao.
 
Back
Top Bottom