Nimeiona. Sema tu leo sitaki shari kabisa ndo maana niko kimya. Hata TRM mfanye nini leo sitatia neno. Sana sana nitarudi baadaye kuwapa likes tu kama nitapata muda. Nina lisafari lirefu hapa balaa halafu nadhani kuna hatari ya kukaa ndani ya maji hata kwa wiki nzima. Kuzaliwa mwanaume yaani shida tupu dadeki. Yote kwa yote tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro kaiona hii
Barca hawana kelele za mishara etc timu yetu ina kelele mno kuanzia mishahara makpcha wanaoajiliwa mashabikiKuwa muwazi timu yetu ukifananisha na Barcelona zipo sawa ki uwezo wa wachezaji na performance yao uwanjani
Kama huamini, tena kawaulize Paris Saint-Germain ndio wahanga wa siku za karibuni kabisa na nuksi ya Drake baada ya juzi Jumapili kukumbana na kipigo kizito kwa mara ya kwanza kwenye ligi ndani ya miaka 19.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanampeleka njia za Rkelly mdogo mdogoHahaha jaman,,sio kweli,Drake hana gundu hilo aisee