Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Sawa Banker.. Upo branch gani tena?
Banker??Sawa Banker.. Upo branch gani tena?
Home for ur heart
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wa tecno tuna shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah .. unakuta kuna majitu yana pesa yanajibahilia hadi wanaboa..hata kama humuombi..
Mfano techno ya nini sasa? 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
🤣🤣🤣🤣 Dah..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wa tecno tuna shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye rula,,huwa na rula yangu nyeupeee,,madesa nayaandika kwa pencil ,,msimamiz anajua ni rula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unayafichaga wapi?
Hahaha hizo dua zako wallah leo hazimpati mtu[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Timu yoyote itakayocheza na M...d huwa naipenda kwa dk 90 tu.
Nina hakika Barcelona hawataniangusha leo.
Mnisamehe bure maana hakuna namna[emoji16][emoji16][emoji16]
Mmmh..Mitihani hatariii..Kwenye rula,,huwa na rula yangu nyeupeee,,madesa nayaandika kwa pencil ,,msimamiz anajua ni rula [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nitajaribu Frag,,,japo ni gumu,, madesa yameshaingia kwenye damu[emoji2][emoji2]Mmmh..Mitihani hatariii..
Trust your brain banaaa...
Haina haja ya kudesa...