capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nasubiri jibu! kumbe kuna obvious signs?What are the obvious signs of a cheating partner?
🤓 Mindset tu!Ngoja nitajaribu Frag,,,japo ni gumu,, madesa yameshaingia kwenye damu[emoji2][emoji2]
Masha Allah jicho kama lote..
Inatokeaga...Game Of Thrones ina nini?? Me mbona niliishindwa ??
Nmetizama VIKINGS iko poa ila GoT sina habari nayo kabisa nahisi nilitizama hadi seaso 5 ikanichosha.Inatokeaga...
Kama hupendi mambo ya zamani ya vita vile vya kihistoria huwezi ipenda.
Ila ni nzuri hii jamani Dah..
unafeel kama uko kule.
Kuna series kama "Vikings" nzuri nayo dah
Unanifurahisha sana.Nice hair