Maajabu hadi muda huu poti hajaniita[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiiiPoti, nini mbaya? Namalizia popcorn zangu hapa, nitakuita bdae! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiii
Mmmh sio kwa man u labda kwa CR7Mpira dakika 90 ujue, ooh! [emoji1]
Mmmh sio kwa man u labda kwa CR7
Mmmh sio kwa man u labda kwa CR7
Timu yetu ina mapungufu Mengi sana imagine goli la pili ni la kizembe sana
Hadi naamini ingekua busara kumcheleweshe ole mkataba akaze buti all in all tumeshafeli. And the congrats bro ake bro Messi katupiaTimu yetu ina mapungufu Mengi sana imagine goli la pili ni la kizembe sana
Juve wakipita habari mbaya sana kwa wachezaji wa madrid hasa ramos na rais wao papaa PerezAjax wanabalaa juve hata wakipita lazima walale na viatu
Daaah drakeeee kazini aiseee
Hahaaa
Si wa kwanza mie kuumizwa na mpira toka enzi zile za mababu zetuuuu