capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Juve walibebwa hawakubebeka yani! Hadi refa kajistukia.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1074278
Juve walibebwa hawakubebeka yani! Hadi refa kajistukia.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1074278
Nijaribu nini Bro wakati siwezi tayari😀😀Jaribu uone...
Maximum miezi mitatu....
Pole sana bro kwa kipigo kitakatifu cha jana. Bado una imani na Ole Gunnar wako?Juve walibebwa hawakubebeka yani! Hadi refa kajistukia.
Tunachoongelea.Nijaribu nini Bro wakati siwezi tayari😀😀
OSG anatatizo gani? Angalia kikosi alicho nacho, aina ya wachezaji alio nao.Pole sana bro kwa kipigo kitakatifu cha jana. Bado una imani na Ole Gunnar wako?
Messi siyo mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa bro. Wanasema muda mzuri wa kuanza kumpima kocha ni angalau miaka mitatu.OSG anatatizo gani? Angalia kikosi alicho nacho, aina ya wachezaji alio nao.
Hatua inayofuata ni kusajili wachazaji wa aina atakayo. Tumpe muda
Man U ni club kubwa yenye players wasio kiwango chake kwa sasa.
Nimeona jibu lako huko. Hufai !!! [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Dada zetu samahani!! Mwanaume hafuatiliwi
Habr zenu wanabodi, Leo nataka niwape hawa dada zetu ukweli nmegundua wengi wanafeli sana hapa. Dada zetu usipoteze muda wako eti unamfatilia mwanaume wako anafanya nini nk.. Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta...www.jamiiforums.com