myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji41][emoji41] What make you think of that?WOW! I thought so but was not 100% sure
Ahsante Pole pia kwa majukumu.Wafanyakazi poleni sana
Ahsante,,pamoja mkuuAhsante Pole pia kwa majukumu.
Siyo mara ya kwanza huyo dogo kutajwa tajwa kwenye hayo mambo. Ila kwa hali ya sasa na huo ustaa wake wala haishangazi sana. Dunia hii inakwenda kasi sana wallahi.![]()
Sina cha kusema, mambo ni mengi
www.jamiiforums.com
Kuna tetesi nyingine ukakasi mtupu. Ila huyu mtu anatia shaka sanaSiyo mara ya kwanza huyo dogo kutajwa tajwa kwenye hayo mambo. Ila kwa hali ya sasa na huo ustaa wake wala haishangazi sana. Dunia hii inakwenda kasi sana wallahi.
Ila kuna wengine wanasema kuwa habari hii ni feki...Na hapo alikuwa anafanya nini?
Mwanaume mzima na ndevu zako unapojiita Dimpozi ni wazi watu watakutilia shaka.Kuna tetesi nyingine ukakasi mtupu. Ila huyu mtu anatia shaka sana
Fake vipi Bro? Aa picha ni Photoshop?Ila kuna wengine wanasema kuwa habari hii ni feki...
View attachment 1074232
Shi izi gojazi...