Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

A number of other big name rappers -- including TI, Snoop Dogg and several other stars who spoke and shared memories during Hussle's enormous Celebration of Life tribute at the Staples Center last Thursday -- joined in on the boycott, threatening to stop support for Ingraham's sponsors if Fox Next doesn't fire her.
 
Huyu fala kaanza kufanyiwa ufala. Halafu jamaa hana mke wala watoto. Yupo yupo tu. Karmaaaaa !!!
tapatalk_1555501594503.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
klabu ya AS Roma ya Italia imewafungia wachezaji wake kupiga picha na Drake hadi msimu utakapomalizika huku wakishindwa kutoa sababu. Taarifa Ktk mitandao zinadai wachezaji waliopiga picha na Rapa Drake wamepata matokeo mabovu ya kufungwa Ktk mechi zao zinazofuata
 
Mie nimemshangaa sana Mkuu. Hata haoni noma hadharani hasa ukitilia maanani wadhifa wake. Imenikumbusha picha maarufu ya Michuzi wa Muhidin akiwa London UK na dildo lake miaka michache iliyopita.

Ana promote Dildo hadharani mbele ya kina mama?! Hata kama ni kiwanda, ni ujinga kiasi gani kwa mtu mzima huyu??
 
Back
Top Bottom