Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole sana bro kwa kipigo kitakatifu cha jana. Bado una imani na Ole Gunnar wako?

Messi siyo mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
OSG anatatizo gani? Angalia kikosi alicho nacho, aina ya wachezaji alio nao.

Hatua inayofuata ni kusajili wachazaji wa aina atakayo. Tumpe muda

Man U ni club kubwa yenye players wasio kiwango chake kwa sasa.
 
Sawa bro. Wanasema muda mzuri wa kuanza kumpima kocha ni angalau miaka mitatu.
 
Nimeona jibu lako huko. Hufai !!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…