Sijaielewa hiii kabisaaa.. Code yake sijaidikodi... ilikuwaje kwaniii?Jf nzito hii: Hatimaye yule member maarufu kapotea kama upepo chiii!
Mambo ni mengi mudaa mchachee chiiiiii. Sasa ni mwendo wa codee Hehheje[emoji23][emoji23]Ila nyie wanajf Mna vichwa vizito si yule mwana kuyataka mwana kuyapata yulee[emoji23][emoji23] Yule kibonge chii hamnielewi yulee mwenye vita alianzisha na wadada wa jf bana bana hebuu msinichoshe...www.jamiiforums.com
😁😁😁That makes two of usNmeshindwa kumung'unya ubuyu huu.