Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Tunaweza kupata picha ya "masculine" face?Cheating men's face shapes can give it away, study suggests
Experts find men with more ‘masculine’ faces more likely to seem, and be, unfaithful
Me sio mzuri wa kutoa maelezo marefu, experience inanituma kuamini hivyo.Really? Do tell..
anazembea wapi?
Pole Dada dah...hamia AirtelMie mwenyewe nimeshindwa ifungua akili zimeenda na man u basi tabu tupu
Weka yako tuoneTunaweza kupata picha ya "masculine" face?
Kwenye hisia...mwanamke ni mtu wa hisia zaidi...Sisi ni physical being...Really? Do tell..
anazembea wapi?
Mhh.. Experience eeeMe sio mzuri wa kutoa maelezo marefu, experience inanituma kuamini hivyo.
Nimekusaidia hapo juu bro...Me sio mzuri wa kutoa maelezo marefu, experience inanituma kuamini hivyo.
Mzee wa vitendo sioMe sio mzuri wa kutoa maelezo marefu, experience inanituma kuamini hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiPole Dada dah...hamia Airtel
Sasa ndio maana unatakiwa usolve issue zake za vikoba kwanza..Kwenye hisia...mwanamke ni mtu wa hisia zaidi...Sisi ni physical being...
Mi nakazana huku kumpelemba kumbe yeye hisia zake zipo kwenye madeni ya Vicoba na upuuzi mwingine. Kona ya Bwiru na Mawenzi atavifikia saa ngapi?
Ahsante sana Bro, wanatupa lawama zisizo zetu.Kwenye hisia...mwanamke ni mtu wa hisia zaidi...Sisi ni physical being...
Mi nakazana huku kumpelemba kumbe yeye hisia zake zipo kwenye madeni ya Vicoba na upuuzi mwingine. Kona ya Bwiru na Mawenzi atavifikia saa ngapi?
Wewe si ndiyo umesoma huo utafiti? Weka hayo maelezo ya jinsi wanavyodifaini hiyo masculine face. Kibongo bongo huku masculine face si ajabu ikawa ni zile sura ngumu au simply ugly. Tafiti zingine zibakie huko huko Ulaya. Huku kwetu nadhani social status ya mtu na nguvu zake za kiuchumi ndo zinamata zaidi. Ukiwa na vihela vyako na kausafiri kazuri unakuwa vulnerable hata kama una sura kama ya Remmy Ongala.[emoji2221][emoji2221][emoji2221]Weka yako tuone
Vifisi vinajulikana kwa kuangalia aisee!Wewe si ndiyo umesoma huo utafiti? Weka hayo maelezo ya jinsi wanavyodifaini hiyo masculine face. Kibongo bongo huku masculine face si ajabu ikawa ni zile sura ngumu au simply ugly. Tafiti zingine zibakie huko huko Ulaya. Huku kwetu nadhani social status ya mtu nguvu zake za kiuchumi ndo zinamata zaidi. Ukiwa na vihela vyako na kausafiri kazuri unakuwa vulnerable hata kama una sura ya aina gani..[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ni kipindi cha mpito, we all know that. United will always be UNITED! Never loose hope.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii
This is where ogs dont comeMi Sinaga Tatizo Na Msichana Kuniomba Hela.
Ila Nina Tatizo Yani Sijawahi Ata Kukushika Bega Unataka Hela.
We Subiri Nikuonje na Wewe Ndo Uonje Hela Zangu..
Ukisolve issue za vikoba zitaibuka ishu zingine...na zingine...ila kuna njia mbadala za kutatua matatizo haya ya kihisia kisaikolojia...without paying a dime...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]Sasa ndio maana unatakiwa usolve issue zake za vikoba kwanza..
sasa capitalpool anakwambia hata bega hajamshika ampe hela Hahahaaa
"Wee kaka una maneno ya faraja"alisikika numbisa akimshukuru capitalpoolNi kipindi cha mpito, we all know that. United will always be UNITED! Never loose hpe.
👂👂👂👂Ukisolve issue za vikoba zitaibuka ishu zingine...na zingine...ila kuna njia mbadala za kutatua matatizo haya ya kihisia kisaikolojia...without paying a dime...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]