Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahsante sana Bro, wanatupa lawama zisizo zetu.
unnamed (2).jpg
 
Ndo maana nasema ni uzembe wao. Wao wanadhani tunatafuta ni kukimbia round zote hizo?

Sasa mpaka round nane na mtu hafiki na hasemi hilo linakuaje tatizo langu?

Mmoja alinambia ukifanya taratibu nitafika ila kwa speed tutakesha. Hivi ndo mwanamke anatakiwa kuwa, tunafanya kwa ajili yao hasa.
Kama umeshadeti mzungu utakuwa umeshaona tofauti kubwa iliyopo. Binti wa kizungu anakupa combination zote za kumfikisha mawenzi bila kujichosha na kupotezeana muda. Hawa wa kwetu hawa mawenzi yake ipo kifuani wewe umekazana kuwasha moto huko Kusini. Kuchoshana tu yaani. Wangekuwa wanafunguka kama huyu mbona mambo yangekuwa rahisi tu?
 
Back
Top Bottom