capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Many guys go broke trying to prove they're not broke to women who are broke.
Women fake orgasms to have relationships. Men fake relationships to have orgasms.Kama umeshadeti mzungu utakuwa umeshaona tofauti kubwa iliyopo. Binti wa kizungu anakupa combination zote za kumfikisha mawenzi bila kujichosha na kupotezeana muda. Hawa wa kwetu hawa mawenzi yake ipo kifuani wewe umekazana kuwasha moto huko Kusini. Kuchoshana tu yaani. Wangekuwa wanafunguka kama huyu mbona mambo yangekuwa rahisi tu?
Ai agrii...Women fake orgasms to have relationships. Men fake relationships to have orgasms.
Lile dua la lubumbashi lilikua la kila mtu kale ka timu dhaifu sana. Hebu piga leo nianze kukuaminiYaani sijui nipige lile dua langu la siku ile! hatutapumua humu!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji109][emoji109][emoji109]If u have problems with ur man, don't come online and make other ladies think all men are dogs, Carry ur own dog to the vet.
Hivi naye kumbe ni Livapuu. Simba wakishinda huwa ana makelele balaa. Kama naye ni Livapuu ni afadhali tu wafungwe kwa kweli japo kwa kandanda lao la siku ile sidhani. Kale kafarao kao kale hatari sana [emoji16][emoji16][emoji16]Bro @moudgurf umemsahau bro
Hahahahahha. Jana wakajaa kule uzi wa man uLiver wanaongea hatari,,dua zangu wapigwe leo na watolewe kabsa.
Kuna moud,rostema tutamwaguwa post cha kama zote. Man u hatuna kelele sana bana hahahaMbali na mzee wa liver, nani mwingine ni mshabiki wa Livapuu humu?
Wenye makelele ni Simba halafu mnafuatia nyie wa MU...