Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye hisia...mwanamke ni mtu wa hisia zaidi...Sisi ni physical being...


Mi nakazana huku kumpelemba kumbe yeye hisia zake zipo kwenye madeni ya Vicoba na upuuzi mwingine. Kona ya Bwiru na Mawenzi atavifikia saa ngapi?
Sasa ndio maana unatakiwa usolve issue zake za vikoba kwanza..
sasa capitalpool anakwambia hata bega hajamshika ampe hela Hahahaaa
 
Weka yako tuone
Wewe si ndiyo umesoma huo utafiti? Weka hayo maelezo ya jinsi wanavyodifaini hiyo masculine face. Kibongo bongo huku masculine face si ajabu ikawa ni zile sura ngumu au simply ugly. Tafiti zingine zibakie huko huko Ulaya. Huku kwetu nadhani social status ya mtu na nguvu zake za kiuchumi ndo zinamata zaidi. Ukiwa na vihela vyako na kausafiri kazuri unakuwa vulnerable hata kama una sura kama ya Remmy Ongala.[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Vifisi vinajulikana kwa kuangalia aisee!
 
Sasa ndio maana unatakiwa usolve issue zake za vikoba kwanza..
sasa capitalpool anakwambia hata bega hajamshika ampe hela Hahahaaa
Ukisolve issue za vikoba zitaibuka ishu zingine...na zingine...ila kuna njia mbadala za kutatua matatizo haya ya kihisia kisaikolojia...without paying a dime...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…