Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi naye kumbe ni Livapuu. Simba wakishinda huwa ana makelele balaa. Kama naye ni Livapuu ni afadhali tu wafungwe kwa kweli japo kwa kandanda lao la siku ile sidhani. Kale kafarao kao kale hatari sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha ni Livapuu yule,,kelele zile za Simba atazihamishia hapa leo

Kila la kheri Fc Porto
 
Kuna moud,rostema tutamwaguwa post cha kama zote. Man u hatuna kelele sana bana hahaha
Simba ni namba moja

MU namba mbili

Livapuu Mzee wa Liva akiwepo ni shida. Mtaambiwa pombe zote anazokunywa siku hiyo, safari zake zote na ishu za kisiasa zinazomkera...kwa raha zake.

Sisi wa Aseno yaani tuko vere polaiti hatuna neno na mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahaha siku hyo malikia wake atamuita kila badaa aya post moja
 
Ogopa mtu mkimya kama aseno aiseee sijui wanaundugu na mwakaleli au jirani na iringa wapo fasta kujinyonga
 
Rais wa klabu ya Bayern Munich Uli Hoeness anasema kuwa atamnunua mshambuliaji wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 20 Kylian Mbappe mara moja iwapo mabingwa hao wa Ujerumani wana uwezo wa kumnunua mchezaji huyo wa PSG . (Deutschen Presse-Agentur, via Goal)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…