Huku siko kwa kuomba uraia bro. Uraia uko Gamboshi. Huku mtu unakuja unapiga kitabu mambo yakikubali unapiga boksi lako safi huyoo unarudi zako Gamboshi. Hapazoeleki kabisa bro...na huyu rais wao yaani ni balaa tupu...Hahah ni kweli bro,,kwema huko kwa TRUMP(Tayarisha Raia Upate Maisha Popote)