myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
hii safi sana
hii safi sana
Jamaa ana gundu la balaa.Drake kapige picha na kafarao kisha na messi tupate burudani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu basi bana! [emoji1][emoji1][emoji1]
Jamaa ana gundu la balaa.
Alipiga picha na mchezaji wa man city, jana majibu yametokea.
Anapiga nao wapi hizi picha? Isije ikawa anasingiziwa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa anajiongezea umaarufu kila kukicha.