Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

De Bruyne ni mmoja kati ya nyota makini duniani, katika siku za karibuni alikuwa akisumbuliwa na maumivu lakini baada ya kurudi uwanjani, alirudi kwa kasi kubwa. Alijiunga katika kambi ya Etihad akitokea Wolfsburg kwa ada ya Pauni 54 milioni mwaka 2015.
 
Klabu hiyo ya Ubelgiji ilimchukua na kumweka katika familia ya Foster kwa miezi 12 ili apate maisha bora na kujifunza vitu tofauti wakati akisubiri amalizie shule. Akiwa huko aliendelea na kufanya mazoezi katika akademi ya klabu hiyo. “Mwaka mmoja ulipita vizuri na nilikuwa nafanya vizuri shuleni na klabuni, hakukuwa na shida ya namna yoyote.
 
Watu wa familia hiyo waliniaga vizuri na kuniambia: ‘Uwe na likizo njema. Tutakuona baada ya mapumziko, uwe na muda mzuri. Nilirudi nyumbani nikiwa na furaha ya kutaka kuonana na mama.Lakini baada ya kurudi katika nyumba ya familia yangu halisi nilimkuta mama kajiinamia huku analia.”
 
Akasema: ‘Wanasema kwa sababu ya hulka yako, wanadai eti upo kimya sana na hawawezi kukuzoea, wewe ni mgumu sana, huzoeleki. Hawawezi kuishi na mtu wa aina hiyo. “Nilishangaa sana, hilo lilikuwa ni jambo kubwa sana katika maisha yangu ya soka. Sikuwa nyota kwa wakati huo.
 
Neno pekee lilikokuwa likinirudia kichwani lilikuwa “Hawakutaki kutokana na hulka yako ya ukimya.” “Nilichukua mpira na kuanza kuupiga katika uzio kwa saa kadhaa. Nilipiga kelele nikiwa nje “kila kitu kitakuwa sawa.” Katika kipindi cha mwezi mmoja nitakuwa katika kikosi cha kwanza, sijali nitakumbana na nini, ninachojua sitarudi nyumbani nikiwa nimefeli. Nilifukuzwa katika nyumba ya awali lakini soka langu liliendelea, baada ya mwezi mmoja nilifanya juhudi na kutua kikosi cha kwanza.
 
Mambo yalivyonyooka

“Nakumbuka wakati mambo yalipobadilika, ilikuwa ni Ijumaa jioni, tulikuwa tukicheza ligi ya chini. Nilianzia benchi, baada ya kutua katika kikosi kwenye kipindi cha pili, nilikuwa kama kichaa, nilifunga mabao matano. “Baada ya hapo kila mtu katika klabu alifahamu mimi ni nani, niliitwa kikosi cha kwanza na baada ya miezi miwili nilipangwa kikosi cha kwanza.
 
Ohoooo
IMG_20190207_152534.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man City can’t win the treble/quadruple. They will concentrate on the league & win it.

Spurs will concentrate on the UCL, increasing United’s top 4 chances.

And Liverpool will slip because they’re Liverpool. It’s all worked out pretty nicely.
👌🏼
 
“Soma Katiba ya #Tanzania Ibara ya 143 ina mpangilio wa hatua za nidhamu, kujieleza haimo.”- Profesa Mussa Assad kuhusu ushauri uliotolewa na Spika Job Ndugai kumtaka kwenda kujieleza kwa Rais.


D4MC55YWsAE_4e9.jpg


Huyu mzee ananipa raha sana! Tafadhali tumpelekee Macbook yake.
 
Back
Top Bottom