moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kamanda piga kelele[emoji16][emoji16][emoji16]Hivi naye kumbe ni Livapuu. Simba wakishinda huwa ana makelele balaa. Kama naye ni Livapuu ni afadhali tu wafungwe kwa kweli japo kwa kandanda lao la siku ile sidhani. Kale kafarao kao kale hatari sana [emoji16][emoji16][emoji16]