Kamanda piga kelele[emoji16][emoji16][emoji16]Hivi naye kumbe ni Livapuu. Simba wakishinda huwa ana makelele balaa. Kama naye ni Livapuu ni afadhali tu wafungwe kwa kweli japo kwa kandanda lao la siku ile sidhani. Kale kafarao kao kale hatari sana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha ni Livapuu yule,,kelele zile za Simba atazihamishia hapa leo
Kila la kheri Fc Porto
Nilijua jana ulikuwa haupo dah umenikamata [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kamanda piga kelele[emoji16][emoji16][emoji16]
Last borns mtuwache kwa raha zetu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mitandaoni humu kila mtu msupa. Siku mkionana sasa [emoji16][emoji16][emoji16]