Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

CAG amesema uvunjaji wa sheria za fedha umefikia 82%. Kama ni mtihani ni sawa kusema, Serikali imepata A ya kuvunja sheria za fedha. Ni sawa kusema Serikali ina F ya mtihani wa nidhamu ya fedha za umma. Ni sahihi kusema Serikali ya Dr Magu imefeli katika nidhamu ya fedha za umma.
 
JF kama kichwa chako kina kusumbua usije kuomba ushahuri
Mara nyingine Maisha ya Ndoa ni Vita! Huyu jamaa sijui nimfanyeje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…