BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Kabisa Mkuu yaani wengi ni wasomi lakini cha kushangaza bado wanamuunga mkono huyu mhuni, jambazi, dikteta na muuaji!
Yapo mengi na ni wazi kuhusu hii awamu ya TANO.
Ni vile najiuliza kwa nini watu hawawezi kuelewa kinachoendelea kwa Taifa hili?
waTanzania ni watu wa kuhurumiwa sana wakati mwingine,