Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Anajiamini na anasimamia kile anachokijua.“Soma Katiba ya#Tanzania Ibara ya 143 ina mpangilio wa hatua za nidhamu, kujieleza haimo.”- Profesa Mussa Assad kuhusu ushauri uliotolewa na Spika Job Ndugai kumtaka kwenda kujieleza kwa Rais.
View attachment 1074713
Huyu mzee ananipa raha sana! Tafadhali tumpelekee Macbook yake.