Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
51936977_389362551613283_6667711559335817659_n.jpg
 
Nitumie [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro unanipaga raha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kuna jamaa anatumaga video za hilo jina somebody biriani kwenye group la michezo hivi ni msanii huyo Binti
 
JF ina mambo mengi ya kutisha saana. mambo mengi sana,

Mengi si ya kawaida ukiacha hili la HIV kwa habari za maambukizi ya makusudi nimeskia zaidi ya mara moja.

Kuna ushoga na mapenzi kinyume na maumbile, usagaji, wanandoa kukosa uaminifu ktk ndoa za n.k n.k

Hii hali ni mbaya sana na inatisha mnoo, huko tunakwenda sidhani kama tunafika salama.
 
Tayari. Hali ni mbaya kizazi hiki. Ana "masculine" face ila msambwanda anao na jamaa wanamdadavua tu. Vijana wanaohaha kutafuta wake kazi wanayo. Unaweza kuishia kuoa mtu jamaa walishakula tigo mpaka wakachoka...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1075144
Hawa nao ni kina nani bro??
 
JF ina mambo mengi ya kutisha saana. mambo mengi sana,

Mengi si ya kawaida ukiacha hili la HIV kwa habari za maambukizi ya makusudi nimeskia zaidi ya mara moja.

Kuna ushoga na mapenzi kinyume na maumbile, usagaji, wanandoa kukosa uaminifu ktk ndoa za n.k n.k

Hii hali ni mbaya sana na inatisha mnoo, huko tunakwenda sidhani kama tunafika salama.
JF hapa ni sawa tu na huko mtaani kwa sababu tulioko mtaani ndiyo tuko hapa. Ni akili kumkichwa as usual.

Mtu anaanzisha fyekero anafunguka wee halafu anasema yeye ni memba mkongwe. Maajabu tupu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro unanipaga raha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ASANTE kwa mnaonivumiliaga bro. Hata nyie mnaonitiaga kwenye iginoa listi mara kwa mara asanteni pia. Shwaiiiniii zenu halafu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Aisee,,,tulipofikia panatisha sana
Ndiyo hawa....Demu ana "masculine" face ila msambwanda anao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
 
Back
Top Bottom