[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nawe pia na njozi njema.
Uko sahihi kabisa bro !Sitaki kumlaumu kwa ID mpya sababu lengo lake ilikuwa kutukumbusha.
Picha tulio nayo mtaani si kama hii tunayokutana nayo hapa JF.
Mtaani ni vigumu kujua nini kinaendelea, JF ina funua kile kilichpo mtaani.
Sasa kwa haya yanayoendelea JF huashiria kuoza kwa mtaa/Taifa ni hakufai.
Nmesikitika sana. Yupo mmoja pia alijitokeza kutafuta mume muathirika.
Wenye HIV ni wengi sana.
Njombe na iringa ni special case.