Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Halafu kuna watu wanasema ukimwi haupo mara sio tishio aiseee nimeona wagonjwa wanavyoteseka ni shida. Ile fact ya kuathirika inaharibu kila mipango kuja kuizoea hali inachukua muda mrefu sanaNmesikitika sana. Yupo mmoja pia alijitokeza kutafuta mume muathirika.
Wenye HIV ni wengi sana.