Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sijui kwa nini. Wanadai eti sababu ya baridi japo huwa siamini. Baridi hata kondomu hawawezi kutumia? Na watu wanavyobehave siku hizi utafikiri UKIMWI haupo kabisa. Hatari sana !!!Njombe na iringa ni special case.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani bro na kupotea kote huko kweli unakuja kurudi na hii? Dah !!!
Naona umefurahi mpaka basi....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]