Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nmesikitika sana. Yupo mmoja pia alijitokeza kutafuta mume muathirika.

Wenye HIV ni wengi sana.
Halafu kuna watu wanasema ukimwi haupo mara sio tishio aiseee nimeona wagonjwa wanavyoteseka ni shida. Ile fact ya kuathirika inaharibu kila mipango kuja kuizoea hali inachukua muda mrefu sana
 
UNAKUMBUKA yule mchezaji wa Brazil, Emiliano Sala aliyefariki dunia baada ya ndege yao yeye na rubani wake kupotea kwenye rada kule Cardiff, Wales.
 
Sasa unaambiwa Cardiff City iliyokuwa imekamilisha usajili wake kutoka Nantes, imewasilisha vielelezo vyake Fifa kuhusu fedha za mchezaji huyo.
 
Nantes wamekomaa wanataka fedha zao wakidai makubaliano ilikuwa kuuziana mchezaji huyo kwa Pauni 15 milioni hatua iliyokamilika na Nantes ikawaachia Sala.
 
Cardiff imegoma kutoa fedha hizo kwa kuwa mchezaji waliokubaliana na licha ya kukubaliana, lakini ameshafariki dunia hivyo ishu ya mkataba sasa haipo.
 
Nantes imepinga hayo na imewasilisha malalamiko yake Fifa, hatua ambayo Fifa imeitaka na Cardiff na yewenye kuwasilisha vielelezo kufikia juzi Jumatatu.
 
Bado wapo kwenye vita kali dhidi ya Manchester City wakishindania ubingwa huku wababe hao wa Anfield wakiwa wamebakiza mechi nne na wapinzani wao wa huko Etihad wana mechi tano huku wakiwa nyuma kwa pointi mbili.
 
Wakati pointi hizo walizovuna Liverpool zikionekana hazina maana kwa msimu huu kutokana kushindwa kuwapa taji hilo, huko nyuma kuna misimu mitano tofauti katika Ligi Kuu England timu zilibeba ubingwa ikiwa na pointi chache zaidi.
 
Hizi hapa timu zilizopata bahati ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England wakiwa na pointi chache kuliko hata ilizovuna Liverpool msimu huu na bado hawajafanikiwa kunyakua taji.
 
5. Man United - 2010/11, pointi 80

Manchester United kiwango chake bora kwenye msimu wa 2010/11 kiliwapa faida ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England ambapo hilo lilikuwa taji lao la 19 katika michuano hiyo.
 
Katika msimu wa 2000/01 miamba hiyo ya Old Trafford ilinyakua ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kuvuna pointi 80. Huo ulikuwa ubingwa wao wa tatu mfululizo kwenye ligi licha ya kwamba hawakuwa na makali makubwa kwenye makombe mengine. Kipindi hicho pointi chache tu zinatosha kubeba ubingwa.
 
3. Man United - 1998/99, pointi 79

Manchester United walikuwa na msimu bora kabisa katika historia yao ya mpira. Msimu huo ulikuwa wa 1998/99, ambapo walishinda mataji matatu makubwa, Ligi Kuu England Kombe la FA na Ligi ya Mabingwa Ulaya na hivyo kuwa timu pekee ya England kubeba mataji matatu ndani ya msimu mmoja.
 
2. Arsenal - 1997/98, pointi 78

Msimu wa 1997/98 ulikuwa wa kwanza mzimamzima kwa kocha Arsene Wenger kwenye klabu ya Arsenal kwa sababu alijiunga na timu hiyo Oktoba ya msimu mmoja uliopita
 
Katika msimu huo mzima, Wenger aliisaidia Arsenal kubeba mataji mawili, akiwapa ubingwa wao wa kwanza wa ligi baada ya kusubiri kwa miaka saba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…