Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
![]()
Jf inatisha: Kuna member wawili maarufu walikuwa hotelini week nzima wakijunjana chiii!
Wanakamatiiii Jaman jaman Jf kumbe nzito kiasi hiki poooh mmenishinda kwa kweli yani nimewashiba agagaaa! Nasikia yule member maarufu ako na I'd yenye kutamka kwa uzito kama jiwe la kg 125 . Na nyie vichwa vyenu vizito kama nini si yule ambaye I'd yake unaitamka kisukuma jaman yani lazima...www.jamiiforums.com
Nisaidie hii code [emoji116][emoji116][emoji116]. Eti Shimba ya Buyenze ukiigeuza kwa Kisukuma unapata nini? Yaani nimejikuta natajwa tu kwenye ubuyu bila sababu dah [emoji16][emoji16][emoji16]