Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

PAPAYA

Tunda hili huwa na wingi wa antioxidants, vitamin na madini mengine ambayo ni muhimu kwenye maboresho ya ngozi.

Madini yake hasa papain husaidia pakubwa kupambana na uwezekano wa ngozi kupata makunyazi hivyo kuhakikisha ni laini muda wote hivyo mazoea ya kuila hupunguza kasi ya ngozi kuchujuka licha ya umri kuzidi kusonga.
 
BLUEBERRIES

NI miongoni mwa matunda kwneye familia kubwa ya berries. Huwa na wingi wa madini ya vitamin A & C na vile vile antioxidant anthocyanin ifahamikayo kwa kupambana na uzee.

Madini yapatikanayo kwenye tunda hili husaidia mwili kupambana na presha ya miale ya jua, stresi na uchafuzi wa mazingira unaoweza kuathiri ngozi.
 
SPINACH

Ni aina ya mboga ambayo madini yake kazi kubwa huwa ni kuongeza kasi ya seli za mwili kupata Oxygen ya kutosha na katika hilo kusaidia ngozi kung’aa. UKiachia mbali wingi wake wa Vitamini C ambayo ni muhimu sana kwenye utengenezaji wa protini ya Collagen, pia ina madini ya vitamin K ambayo husaidia kuzipa nywele udhabiti na mwenekano wa kung’aa
 
NJUGU

Zipo aina nyingi tu za mbegu hii. Hata hivyo nyingi yazo hasa Almonds, huwa na wingi wa vitamin E ambayo husaidia pakubwa katika urekebishaji wa tishu za ngozi pale zinapochujuka, kudumisha hali ya ulaini wa ngozi na vile vile kulinda ngozi dhidi ya miale hatari ya jua.
 
Unafukuzia faili mwezi mzima utafikiri demu? Urais wa hiki chama ulishakushinda. Achia ngazi. Afadhali hata umpe Esta anajiweza wezaga sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]. Au msubiri tu mwenyewe atakaporudi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman ,,kwamba nmelifukuzua muda mrefu,,acha nimkabidhi Esta tu
 
AVOCADO

Ni tund ambalo huwa na wingi wa mafuta muhimu mwilini. Mafuta haya husaidia kwenye kupromoti ngozi nyororo muda wote.

Pia husaidia kwenye uondoaji wa seli nzee za ngozi na kuzipa zile mpya fursa za kuwa bora.
 
VIAZI VITAMU

Huwa na madini ya antioxidant (beta-carotene) ambayo hubadilishwa mwilini na kuwa Vitamini A ambayo husaidia kuipa ngozi uwezo wa kujipinda kwa urahisi bila ya kusababisha makunyanzi na pia kuifanya kuwa nyororo. Pia ina Vitamini C na E ambazo huzuia madhara ya miale ya jua na kuifanya ngozi kung’aa.
 
Back
Top Bottom