Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Nisaidie hii code [emoji116][emoji116][emoji116]. Eti Shimba ya Buyenze ukiigeuza kwa Kisukuma unapata nini? Yaani nimejikuta natajwa tu kwenye ubuyu bila sababu dah [emoji16][emoji16][emoji16]

 
Thanks bro, nilicheka sana nilipoiona nikasema itakifaa sana kile chama chetu😀😀😀😀😀😀😀😀
Kile chama ni kama vile kishakufa tu. Kiongozi wake mpya ni dhaifu sana kuzidi hata Bunge na wanachama wote ni legelege ajabu. Ila nilicheka sana aisee...Kama una vingine weka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…