Kwani wenye avatar za kisukuma humu wangapi.. maana wewe ndio unaweza decode wasukuma wenzio...😁Nisaidie hii code [emoji116][emoji116][emoji116]. Eti Shimba ya Buyenze ukiigeuza kwa Kisukuma unapata nini? Yaani nimejikuta natajwa tu kwenye ubuyu bila sababu dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1075667
Si mchezo!CP[emoji123]View attachment 1075666
Aisee,hiyo comment watu wamepagawa siku hz
Unapenda kikapu na weweSi mchezo!
Sana Bradha alikuwa anacheza nikawa namfollow everywhere ku cheer..Unapenda kikapu na wewe
Oh ok,hope atakuwa alicheza Vijana au Pazi,,muda wake wa NBA ndio ishu,Sana Bradha alikuwa anacheza nikawa namfollow everywhere ku cheer..
ila mechi za NBA siziangaliii siku hizi..Mambo mengi muda mchache
Afadhali uniulize memba wa TRM kuliko avatar za Kisukuma. Ninaowajua hawafiki hata watano; na wote hawafiti kwenye hizo codes.Kwani wenye avatar za kisukuma humu wangapi.. maana wewe ndio unaweza decode wasukuma wenzio...[emoji16]
Hahaha 😄hawa hawalalamiki hawajashika hata bega hawa...
Kwani angepelekwa Guest House asingetoboa siri? Ni yeye aliyetoboa siri au ni hao wambea wasio na kazi za kufanya?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndio muache kupeleka 5 star hotel watoto wa vigesti hausi.. wanadata mpaka wanatoboa siri...
Bei yake sasa!RED BELL PEPPER
Ni aina ya pilipili iliyopo kwenye familia moja na pilipili hoho. Huwa na wingi wa madini ya antioxidant (Carotenoids) ambayo ni muhimu sana katika kuondoa uchafu kwenye seli za mwili.
Si alioandika ndio Ex wa mganga Mwenye M... R..Kwani angepelekwa Guest House asingetoboa siri? Ni yeye aliyetoboa siri au ni hao wambea wasio na kazi za kufanya?
Anaona fahari kwa vile watu wanamfaudu ama? Some women ...
Miye mambo yote ghetoni kwangu Uswazini Mbagala. Hapakufai unatimua. Sina pesa za kuchezea kwenye 5 star hotel. Dola 299 per night mi nizitoe wapi? Kha !!!Si alioandika ndio Ex wa mganga Mwenye M... R..
Hahaha anyway I dont know bana..
We ndio utujuze ulienda na nani kwani?
🤣🤣🤣Miye mambo yote ghetoni kwangu Uswazini Mbagala. Hapakufai unatimua. Sina pesa za kuchezea kwenye 5 star hotel. Dola 299 per night mi nizitoe wapi? Kha !!!