Nyie waongo mnajidai wagumu mnaishia 5 star dah!Miye mambo yote ghetoni kwangu Uswazini Mbagala. Hapakufai unatimua. Sina pesa za kuchezea kwenye 5 star hotel. Dola 299 per night mi nizitoe wapi? Kha !!!
✔✔✔ VerifiedBROCCOLI
Ni aina ya mboga ambayo hupatikana kwenye hoteli kubwa kubwa. Huwa na wingi wa vitamin C ambayo huchangia pakubwa utengenezaji wa protini ain ya Collagen mwilini.
Collagen ndio huipa ngozi udhabiti wake na uwezo wa kupambana na kupasuka au kukunjana.
5 star sijawahi kanyaga. Level yangu lodge za Uswazi na au 0 star. Kuna nini huko 5 star? Nasikiaga hata ugali hakuna...kha !!!Nyie waongo mnajidai wagumu mnaishia 5 star dah!
Weka picha tuhakikishe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji818][emoji818][emoji818] Verified
My favourite meal.. My skin is flawless
Picha ya Broccoli?🤨Weka picha tuhakikishe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ya flawless skin...[emoji16][emoji16][emoji16]Picha ya Broccoli?[emoji2955]
Hivi kudanganya Good Friday sin yake ni kubwa zaidi I guess?5 star sijawahi kanyaga. Level yangu lodge za Uswazi na au 0 star. Kuna nini huko 5 star? Nasikiaga hata ugali hakuna...kha !!!