moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ijumaa Kuu iwe yenye heri kamandaIjumaa njema....
Ijumaa Kuu iwe yenye heri kamandaIjumaa njema....
Nikiweka hapa itabidi nifunge na PM kabisaaYa flawless skin...[emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa watajazana huko wakiomba kufaudu flawless skin ama? Basi fanya iwe ni fo mai aizi onli [emoji14][emoji14][emoji14]Nikiweka hapa itabidi nifunge na PM kabisaa
Nakuona bro[emoji2][emoji2][emoji109][emoji109]Jamaa watajazana huko wakiomba kufaudu flawless skin ama? Basi fanya iwe ni fo mai aizi onli [emoji14][emoji14][emoji14]
Eti siku ya kiama [emoji16][emoji16][emoji16]
Mdogo mdogo tu bro. Yu neva noo. Tena niazime na yale mamuvi ya kutisha tisha yale [emoji23][emoji23][emoji23]Nakuona bro[emoji2][emoji2][emoji109][emoji109]
Nyie waongo mnajidai wagumu mnaishia 5 star dah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuaminia bro huwezi niangusha,yale mamovie yapo ya kutosha,,hata usijariMdogo mdogo tu bro. Yu neva noo. Tena niazime na yale mamuvi ya kutisha tisha yale [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bahati mbaya nimeshastaafu rasmi hizo mambo hasa hapa JF. Ni wakati wenu sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuaminia bro huwezi niangusha,yale mamovie yapo ya kutosha,,hata usijari
Siku wakiweka Mlenda, ugali wa muhogo, samaki wa kulumagia kwa kachumbari nami nitauza kishamba cha urithi nikaonje maisha ya nyota 5[emoji16][emoji16][emoji16]5 star sijawahi kanyaga. Level yangu lodge za Uswazi na au 0 star. Kuna nini huko 5 star? Nasikiaga hata ugali hakuna...kha !!!
Swafi kiongozi, karibu jamviniHabari za saahizi wadau
Hahah sawa bro!!Bahati mbaya nimeshastaafu rasmi hizo mambo hasa hapa JF. Ni wakati wenu sasa.