Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata mimi kamanda. Kakipande ka sato na vijani viwili vya mchicha nasikia ni laki mbili. Kama siyo udwanzi huo ni nini? Wakianza kuuza ugali na bamia tushtuane [emoji16][emoji16][emoji16]Siku wakiweka Mlenda, ugali wa muhogo, samaki wa kulumagia kwa kachumbari nami nitauza kishamba cha urithi nikaonje maisha ya nyota 5[emoji16][emoji16][emoji16]